sw_tn/jdg/04/12.md

29 lines
469 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Walipomwambia Sisera
Hapa haijambainisha mtu moja kwa moja. "mtu alipomwambia Sisera"
# Sisera
Hili ni jina la mwanaume.
# Baraka ... Abinoamu ... mlima wa Tabori
Baraka na Abinoamu ni majina ya mwanaume. Na mlima wa Tabori ni jina la mlima.
# Sisera akayaita magari yake yote
"magari" yanawakilisha askari wanaoendesha magari.
# magari ya farasi mia tisa
"Magari ya farasi 900"
# Haroshethi
Hili ni jina la mahali.
# Mto Kishoni.
Hili ni jinala mto.