sw_tn/jas/01/26.md

41 lines
778 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kujiona mwenyewe kuwa mtu wa dini
"Anadhani anamuabudu Mungu kwa usahihi
# Ulimi wake
Kuudhibiti ulimi wa mtu inamaanisha kudhibiti kauli zake.
# udanganyifu
"mjinga" au "kupotosha"
# Moyo wake
Hapa moyo inamaanisha imani yake au mtazamo wake.
# Dini yake ni bure
"Anamuabudu Mungu bure"
# Safi na isiyoharibiwa
Yakobo anaizungumzia dini , namna watu wanavyomuabudu Mungu kama kitu amabacho ni safi na kisichoharibiwa. Hii ni utamaduni wa Kiyahudi kuelezea namna ambavyo kitu kimekubalika na Mungu. "kukubalika kabisa"
# mbele za Mungu wetu na Baba
Anaelezewa Mungu.
# Yatima
Yatima
# Wajane katika mateso yao
Wanawake wanaoteseka kwa sababu waume zao wamefariki.
# Kujilinda na ufisadi wa dunia
Kutokubali uovu wa dunia hii ukakusababisha ukatenda dhambi