sw_tn/isa/26/11.md

29 lines
799 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mkono wako umeinuliwa juu
Yahwe kujiandaa kuwaadhibu watu waovu inazungumziwa kana kwamba mkono wake uliinuliwa na unataka kuwapiga watu waovu.
# lakini hawagundui
"lakini watu waovu hawagundui"
# wataona ari yako kwa ajili ya watu
Hapa "kuona" inawakilisha kugundua kitu. "watagundua ya kwamba una hamu ya kuwabariki watu wako"
# kuaibishwa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "wataaibishwa"
# moto wa adui zako utawaangamiza
Yahwe kuwaadhibu na kuwaangamiza kabisa adui zake inazungumziwa kana kwamba angetuma moto ambao utawachoma kabisa.
# moto wa adui zako
Hapa "wa" haimaanishi moto ni wa maadui lakini ya kwamba moto umekusudiwa kutumiwa dhidi ya maadui. "moto wako utawachoma kabisa"
# kwa ajili yetu
Hapa "yetu" ina maana ya Isaya na inajumlisha watu wote wenye haki.