forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
626 B
Markdown
17 lines
626 B
Markdown
|
# atawashusha chini wale ambao wanaishi kwa kujiinua
|
||
|
|
||
|
Yahwe kuwaaibisha wale ambao wanajiinua inazungumziwa kana kwamba watu wenye kiburi walikuwa juu na angeweza kusababisha washuke chini.
|
||
|
|
||
|
# miji iliyoimarishwa
|
||
|
|
||
|
Hii ina maana miji iliyoimarishwa kwa ujumla sio mji fulani.
|
||
|
|
||
|
# ataiweka chini ... atasambaratisha
|
||
|
|
||
|
Yahwe kusababisha jeshi kuangamiza miji iliyoimarishwa inazungumziwa kana kwamba yahwe angefanya mwenyewe.
|
||
|
|
||
|
# itakanyagwa chini kwa miguu ya maskini na kutembea kwa wahitaji
|
||
|
|
||
|
Kauli mbili zina maana moja. Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Maskini na watu walioteswa watakanyaga juu ya uharibifu wa mji"
|
||
|
|