forked from WA-Catalog/sw_tn
19 lines
790 B
Markdown
19 lines
790 B
Markdown
|
# Waebrania 08 Maelezo kwa jumla
|
||
|
|
||
|
### Muundo na mpangilio
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anamalizia kwa kufafanua jinsi gani na ni kwa nini Yesu ndiye kuhani mkuu muhumu. Halafu anaanza kuzungumzia jinsi agano jipya ni bora kuliko agano Mungu alifanya na Musa. (Tazama:rc://en/tw/dict/bible/kt/covenant)
|
||
|
|
||
|
Watafsiri wengine wametenga kila msitari wa ushairi kulia kuliko maandishi mengine ili isomeke kwa urahisi. ULB inafanya hivi na ushairi katika 8:8-12, ambayo ni maneno kutoka Agano la Kale.
|
||
|
|
||
|
### Dhana muhimu katika sura hii.
|
||
|
|
||
|
#### Agano jipya
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anaelezea jinsi Yesu ameanzisha agano jipya ambalo ni bora kuliko agano Mungu alianzisha na wana wa Israeli. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/covenant)
|
||
|
|
||
|
## Links:
|
||
|
|
||
|
* __[Hebrews 08:01 Notes](./01.md)__
|
||
|
|
||
|
__[<<](../07/intro.md) | [>>](../09/intro.md)__
|