forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
836 B
Markdown
25 lines
836 B
Markdown
|
# sasa
|
||
|
|
||
|
Hii haimanishi "kwa wakati huu," imetumika kuvuta usikivu kwa kipengele muhimu kinachofuata.
|
||
|
|
||
|
# kungekuwa na hitaji gani jingine zaidi la kuhani mwingine kuja kwa mfano wa Melikizedeki, na wala sio kwa mfano wa Haruni?
|
||
|
|
||
|
Swali hili linasisitiza kwamba haikutegemewa kwamba kuhani angeweza kuja kwa mfano wa Melikizedeki.
|
||
|
|
||
|
# kuinuka
|
||
|
|
||
|
"kuja" au "kutokeza"
|
||
|
|
||
|
# kwa mfano wa Melikizedeki
|
||
|
|
||
|
Hii ina maana kuwa Kristo kama kuhani ana sifa zifananazo na kuhani Melikizedeki.
|
||
|
|
||
|
# na sio kutoka kwa namna ya Haruni
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "na sio kuwa kwa jinsi ya Haruni" au "ambaye ni kuhani sio kwa mfano wa Haruni"
|
||
|
|
||
|
# Kwa kuwa pindi ukuhani unapobdilishwa, sheria nayo ni lazima ibadilishwe.
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kutamkwa katika mfumo tendaji. AT: " kwa kuwa Mungu alipobdilishwa ukuhani, pia alipaswa kubadlisha sheria"
|
||
|
|