sw_tn/heb/06/intro.md

13 lines
387 B
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Waebrania 06 Maelezo kwa jumla
### Dhana muhimu kwa sura hii
#### Agano la Kiabrahamu
Katika agano Mungu alifanya na Abrahamu, Mungu aliahidi kuwafanya uzao wake kuwa taifa kubwa. Aliahidi pia kuwakinga uzao wa Abrahamu na kuwapa ardhi yao. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/covenant)
## Links:
* __[Hebrews 06:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../05/intro.md) | [>>](../07/intro.md)__