sw_tn/ezk/19/05.md

17 lines
421 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaenedela kuelezea taifa la Israeli kama simba jike na wafalme wa ufalme wa Yuda kama wanasimba wake.
# hivyo alimchukua mwingine miongoni mwa watoto wake
Sasa Yahwe anamlinganisha Yehoyakini na mwana simba mdogo.
# Akawakamata wajane na kuiharibu miji
Haya maelezo ni mfano kwa ajili ya Mungu akiruhusu maadui wa Israeli kuyafanya haya mambo.
# na viijazvyo
"na kila kitu katika huo"