# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaenedela kuelezea taifa la Israeli kama simba jike na wafalme wa ufalme wa Yuda kama wanasimba wake. # hivyo alimchukua mwingine miongoni mwa watoto wake Sasa Yahwe anamlinganisha Yehoyakini na mwana simba mdogo. # Akawakamata wajane na kuiharibu miji Haya maelezo ni mfano kwa ajili ya Mungu akiruhusu maadui wa Israeli kuyafanya haya mambo. # na viijazvyo "na kila kitu katika huo"