forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
599 B
Markdown
25 lines
599 B
Markdown
|
# neno la Yahwe likaja
|
||
|
|
||
|
"Yahwe alinena neno lake."
|
||
|
|
||
|
# mwanadamu
|
||
|
|
||
|
(mimi) Ezekieli
|
||
|
|
||
|
# wanotabiri nje ya fikra zao wenyewe
|
||
|
|
||
|
kutabiri kutokana na mawazo yao wenyewe
|
||
|
|
||
|
# fuata roho zao wenyewe
|
||
|
|
||
|
Hili neno limetumika kwa nabii kufanya kile wanachotaka. Neno "roho" linarejea kwa mawazo yao na neno "fuata" linarejea kwa kile wanachokifanya.
|
||
|
|
||
|
# mbweha
|
||
|
|
||
|
wanyama wa porini kama mbwa au mbweha mwitu.
|
||
|
|
||
|
# kama mbeha kwenye aridhi iliyoharibiwa
|
||
|
|
||
|
Kama mbweha aliyeiba chakula kutoka wanyama wengine katika jangwa, manabii huiba kutoka watu wa Israeli wakati wanapodanganya kuhusu kuwa na ujumbe kutoka kwa Mungu.
|
||
|
|