forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
526 B
Markdown
25 lines
526 B
Markdown
|
# nyikani mwa Sinu
|
||
|
|
||
|
Neno "Sinu" hapa ni jina la Kiebrania la nyikani. Sio neno la kiengereza lenye maana ya "dhambi"
|
||
|
|
||
|
# siku ya kumi na tano ya mwezi wa pili
|
||
|
|
||
|
Huu muda unaingiliana na mwisho wa Aprili na mwanzo wa Mei katika kalenda za Magharibi.
|
||
|
|
||
|
# Jamii yote ya Waisraeli
|
||
|
|
||
|
"Waisraeli woe" Huu ni ujumla. Musa na Aruni hawakulalamika.
|
||
|
|
||
|
# lalamika
|
||
|
|
||
|
"walikuwa na hasira na kusema"
|
||
|
|
||
|
# Kama tu tungekufa
|
||
|
|
||
|
Hii ni namna ya kusema wangetamani kufa.
|
||
|
|
||
|
# kwa mkono wa Yahweh
|
||
|
|
||
|
Manaeno "mkono wa Yahweh" wa wakilisha matendo ya Yahweh.
|
||
|
|