# nyikani mwa Sinu Neno "Sinu" hapa ni jina la Kiebrania la nyikani. Sio neno la kiengereza lenye maana ya "dhambi" # siku ya kumi na tano ya mwezi wa pili Huu muda unaingiliana na mwisho wa Aprili na mwanzo wa Mei katika kalenda za Magharibi. # Jamii yote ya Waisraeli "Waisraeli woe" Huu ni ujumla. Musa na Aruni hawakulalamika. # lalamika "walikuwa na hasira na kusema" # Kama tu tungekufa Hii ni namna ya kusema wangetamani kufa. # kwa mkono wa Yahweh Manaeno "mkono wa Yahweh" wa wakilisha matendo ya Yahweh.