sw_tn/deu/07/20.md

29 lines
515 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja.
# Zaidi ya hayo
"Na pia"
# tuma nyigu
Yamkini maana ni 1)Mungu atatuma wadudu walikuo ambao wanauuma watu na kusababisha maumivu, au 2) Mungu atasababisha watu kuogopa na kutaka kukimbia.
# kuangamia kutoka uweponi mwako
"kufa ili usiwaone tena"
# Hautakuwa
"Kamwe"
# mkuu na Mungu wa kutisha
"mkuu na Mungu wa kutisha" au "Mungu mkuu asababishae watu kuogopa"
# kidogo kwa kidogo
"polepole"