# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja. # Zaidi ya hayo "Na pia" # tuma nyigu Yamkini maana ni 1)Mungu atatuma wadudu walikuo ambao wanauuma watu na kusababisha maumivu, au 2) Mungu atasababisha watu kuogopa na kutaka kukimbia. # kuangamia kutoka uweponi mwako "kufa ili usiwaone tena" # Hautakuwa "Kamwe" # mkuu na Mungu wa kutisha "mkuu na Mungu wa kutisha" au "Mungu mkuu asababishae watu kuogopa" # kidogo kwa kidogo "polepole"