forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
579 B
Markdown
17 lines
579 B
Markdown
|
# wale waliojulikana kwa hekima katika Babeli
|
||
|
|
||
|
Hii inarejelea nyuma kwa wale watu wanaodai kusema na wafu, watu wenye hekima na wanajimu
|
||
|
|
||
|
# Yeyote atakayeyaeleza maandishi haya na maana yake atavikwa nguo za zambarau na atavikwa na mkufu wa dhahabu shingoni mwake
|
||
|
|
||
|
Kauli hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Nitampa nguo za zambarau na shingo ya dhahabu kwa yeyote atakayeyaeleza maandishi yake na maana yake."
|
||
|
|
||
|
# atavikwa nguo za zambarau
|
||
|
|
||
|
Nguo za dhahabu zilikuwa adimu na zilitunzwa maalumu kwa ajili maafisa wa kifalme.
|
||
|
|
||
|
# mtawala wa tatu wa juu
|
||
|
|
||
|
"mtawala namba tatu"
|
||
|
|