# wale waliojulikana kwa hekima katika Babeli Hii inarejelea nyuma kwa wale watu wanaodai kusema na wafu, watu wenye hekima na wanajimu # Yeyote atakayeyaeleza maandishi haya na maana yake atavikwa nguo za zambarau na atavikwa na mkufu wa dhahabu shingoni mwake Kauli hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Nitampa nguo za zambarau na shingo ya dhahabu kwa yeyote atakayeyaeleza maandishi yake na maana yake." # atavikwa nguo za zambarau Nguo za dhahabu zilikuwa adimu na zilitunzwa maalumu kwa ajili maafisa wa kifalme. # mtawala wa tatu wa juu "mtawala namba tatu"