sw_tn/act/27/39.md

9 lines
404 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Nchi kavu majini au Ghuba
Sehemu ya nchi kavu iliyoingia majini iliyokuwa na mchanga mwing
# Lakini wakaja mahali ambapo mikondo miwili ya maji inakutana,
Mkondo wa maji unaotiririka kwenda upande mmoja wakati wote. Mara nyingine zaidi ya mkondo mmoja unaweza kutiririka ukiukatisha ule mwingine. Hali hii inaweza kusababisha mchanga kulundikana mahali pamoja na kufanya kina cha maji kuwa kifupi.