sw_tn/act/27/17.md

9 lines
216 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Tulipigwa kwa nguvu sana na dhoruba,
Hii inaweza kusemwa katika hali ya kutenda, Upepo ulivuma kwa nguvu"
# mabaharia wakaanza kutupa mizigo kutoka Melini.
Hili lilifanyika ili kupunguza uzitoili meli isizame.