sw_tn/act/26/06.md

21 lines
558 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sasa
Paulo alitumia maneno haya kuonesha utetezi mwingine.
# Nimesimama hapa ili nihukumiwe
"Nipo hapa waliponiweka ili nihukumiwe"
# Naziangalia ahadi ambazo Mungu aliwapa baba zetu
Paulo ana matumaini na kuja kwa Mesia.
# Nategemea kuifikia
"Tunaamini kuwa tutapokea ahadi ambayo Mungu ametuahidi"
# Kwa nini mnafikiri ni ajabu kwa Mungu kufufua wafu?
Paulo alisema haya ili kumfanya Agripa aunganishe aliyoyasema Paulo na ambacho Agripa alikiamini juu ya Mungu anavyoweza kufufua wafu. "Wewe mwenyewe unaamini kuwa Mungu anaweza kufufua wafu"