sw_tn/act/23/31.md

9 lines
368 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Basi, askari walitii maagizo yao
neno "hivyo" linaweka alama kuwa tukio hilo lilitokea kwasababu ya kitu kingine kilichotokea hapo awali. Katika kesi hiyo, tukio lililopita ni mkuu wa jeshi kuamuru maaskari kumsindikiza Paulo.
# walichukua Paul na wakampeleka usiku
Hapa "kuleta" inaweza kutafsiriwa kama "chukua". "walimpata Paulo na kumpeleka wakati wa usiku"