forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
725 B
Markdown
21 lines
725 B
Markdown
|
# Tumejiweka wenyewe chini ya laana kubwa, kutokula kitu chochote hata tumwue Paulo
|
||
|
|
||
|
kuapa na kumwomba Mungu ili awalaani kama hawatatimiza nadhiri zao ni kusema kana kwamba laana ilikuwa kitu walichokibeba juu ya mabega yao. Sisi tumeapa tusile chochote hata tumwue Paulo na tumemwomba Mungu pia atulaani kama hatuwezi kufanya kile tulicho ahidi kufanya"
|
||
|
|
||
|
# Sasa
|
||
|
|
||
|
Hii haina maana "wakati huu," lakini imetumika kuweka umakini kwa hatua muhimu ifuatayo.
|
||
|
|
||
|
# Kwahiyo
|
||
|
|
||
|
Neno 'kwahiyo" linaonyesha kuna ujumbe uliotangulia kusemwa awali.
|
||
|
|
||
|
# mlete chini mbele yako
|
||
|
|
||
|
"Mlete Paulo kutoka ngomeni ili akutane nawe hapa"
|
||
|
|
||
|
# kana kwamba mnaamua kesi yake kwa usahihi
|
||
|
|
||
|
"kana kwamba mnataka kujifunza zaidi juu ya kile Paulo amekifanya"
|
||
|
|