sw_tn/act/20/25.md

33 lines
692 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa unganishi
Paulo anazidi kuongea na wazee wa Efeso
# Na sasa, tazama, najua
"Na sasa, nisikilizeni kwa makini, kwasababu ninajua"
# Mimi najua kuwa ninyi nyote
Mimi najua kuwa ninyi kwa ujumla wenu wote.
# miongoni mwao nilikwenda kuwahubiri kuhusu Ufalme
kwenu ambao mimi niliwahubiria ujumbe kuhusu ufalme wa Mungu
# hamtaniona uso wangu tena
Neno 'uso' hapa inawakilisha mwili wa Paulo.
# Mimi sina hatia katika damu ya mtu yoyote
Siwezi kulaumiwa na mtu yeyote kuwa na hatia mbele za Mungu
# mtu yeyote
Hapa inamaanisha nafsi ya kila mmoja wao awe mwanaume au mwanamke.
# Kwa maana sikujizuia kuwatangazia
"kwamba sikukaa kimya bila kuwatangazia ujumbe wa kweli.