forked from WA-Catalog/sw_tn
33 lines
996 B
Markdown
33 lines
996 B
Markdown
|
# Sentensi unganishi
|
||
|
|
||
|
karani wa mji alimaliza kizungumza na umati
|
||
|
|
||
|
# Kwa sababu hiyo
|
||
|
|
||
|
Hili neno linaashiria kuwa Karani alisema kwa sababu ya kile ambacho alisema hapo awali. Karani wa mji alikuwa amesema, Gayo na Aristariko alikuwa walikuwa si wezi wala wenye kufuru.
|
||
|
|
||
|
# wanamashitaka dhidi ya mtu yetote
|
||
|
|
||
|
Nono "shitaka" na "tuhumu" ni vitendo dhidi ya wengine.
|
||
|
|
||
|
# Liwali
|
||
|
|
||
|
Huyu alikuwa ni gavana, mwakilishi wa mambo ya kisheria katika mahakama.
|
||
|
|
||
|
# Acha washitakiane wao kwa wao
|
||
|
|
||
|
Hili halimaanishi Demetrio na wale waliokuwa naye watashitakiana wao kwa wao. Hili lilikuwa eneo ambalo kila mtu alikuwa huru kutoa shitaka kwa mtu yeyote.
|
||
|
|
||
|
# Lakini kama wewe ukitafuta chochote kuhusu mambo mengine
|
||
|
|
||
|
"Lakini kama kuna matatizo vema kuongea"
|
||
|
|
||
|
# yatashughurikiwa katika kikao halali.
|
||
|
|
||
|
"Vema kujadili na kutatua tatizo kwa utaratibu wa kawaida"
|
||
|
|
||
|
# katika hatari ya kutuhumiwa kuhusu ghasia siku hii.
|
||
|
|
||
|
"Hii inaweza kusababisha hatari kwa mamlaka ya Rumi tukituhumiwa kuanzisha ghasia kama hii ya leo"
|
||
|
|