sw_tn/act/13/16.md

41 lines
881 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Paulo anaanza hotuba yake kwa watu waliokuwamo kwenye Sinagogi huko Antiokia ya Pisidia. Anaanza kwa kuzungumzia mambo ambayo yalitokea katika historia ya Israeli.
# alisimama na kuwapungia mkono
Inamaanisha kutoa ishara kwa mikono kwamba yuko tayari kuanza kusema.
# enyi mnao mtii Mungu
Anamaanisha, Wamataifa ambao wanafuata desturi na dini ya Kuyahudi. "Ninyi msio Waisrael, lakini mnamwabudu Mungu"
# sikilizeni
"Nisikieni mimi" au "Sikieni ambacha nataka kuwaambia"
# Mungu wa hawa watu wa Israeli
"Mungu ambye anaabudiwa na Waisraeli
# baba zetu
"Mababa wa Wayahudi"
# na kuwafanya watu wengi
"Aliwawezesha wao kuwa watu wengi sana"
# kwa mkono wake kuinuliwa
anamaanisha Mkono wa Mungu wenye uweza.
# aliwaongoza nje yake
"Kutoka katika nchi ya Misri"
# aliwavumilia
linamaanisha "Aliwajali" na "Aliwavumilia katika kutokutii kwao"