forked from WA-Catalog/sw_tn
37 lines
1.1 KiB
Markdown
37 lines
1.1 KiB
Markdown
|
# Sentensi unganishi
|
||
|
|
||
|
Wakati wakiwa katika kisiwa cha Pafo, Pauli alianza kuzungumza na Elima.
|
||
|
|
||
|
# Lakini Sauli aliyeitwa Paulo
|
||
|
|
||
|
"Sauli" ambalo ni jina la Kiyahudi, na "Paulo" ambalo ni jina la Kirumi. Wakati alipokuwa akizungumza na mtawala wa Rumi, alikuwa akitumia jina la Kirumi.
|
||
|
|
||
|
# akamkazia macho
|
||
|
|
||
|
"Akamkazia macho kwa makini"
|
||
|
|
||
|
# Ewe mwana wa Ibilisi
|
||
|
|
||
|
Paulo anasema yule mtu alikuwa akitenda kama Ibilisi. "Wewe sawa na shetani" au "Unatenda kama Shetani"
|
||
|
|
||
|
# umejazwa na aina zote za udanganyifu na uovu
|
||
|
|
||
|
"Wakati wote unatenda kwa kusababisha wengine waamini ambacho si kweli kwa kutumia udanganyifu na mara zote unatenda mabaya"
|
||
|
|
||
|
# Uovu
|
||
|
|
||
|
Inamaanisha kuwa mzembe na kutokufuata sheria ya Mungu kwa dhati.
|
||
|
|
||
|
# Wewe ni adui wa kila aina ya haki
|
||
|
|
||
|
Paulo anamwunganisha Elima pamoja na Ibilisi. Kama vile Ibilisi ni adui wa Mungu kwa kuwa kinyume na haki, ndivyo ilivyo kwa Elima pia.
|
||
|
|
||
|
# Hautakoma kuzigeuza njia za Bwana, zilizonyooka, je utaweza?
|
||
|
|
||
|
Paulo anatumia swali kumkemea Elima kwa upinzani wake kwa Mungu.
|
||
|
|
||
|
# njia za Bwana, zilizonyooka
|
||
|
|
||
|
Hapa "njia zilizonyoka" linamaanisha njia zilizo za kweli katika Bwana.
|
||
|
|