sw_tn/act/10/25.md

13 lines
367 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Wakati Petro akiingia ndani
"Mara Petro alipoingia ndani ya nyumba"
# Kornerio akainama hadi chini kwenye miguu yake
Ingawa kuinama lilikuwa ni tendo la kawaida katika utamaduni wao, Kornerio yeye aliinama kwa Petro kama ishara ya kumsujudia.
# Simama; mimi mwenyewe pia ni mwanadamu
Hili ni kukemea vikali au marekebisho kwa Kornelio kuwa asimwabudu Petro.