sw_tn/act/09/28.md

17 lines
432 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Katika jina la Bwana Yesu
Hii ni injili ya mfano wenye ujumbe wa Yesu Kristo.
# Mahojiano na wayahudi wa kiyunani
Sauli alijaribu kutafuta sababu za wayahudi wa kiyunani.
# Kumleta chini mpaka Kaisaria
Kaisaria iko chini zaidi ya Yerusalemu. Hata hivyo,ilikuwa kawaida kusema kwamba mmoja alipanda juu Yerusalemu.
# na wampeleke aende Tarso.
Kaisari ilikuwa bandari, yawezekana walimpeleka Sauli Tarso kwa njia ya meri.