sw_tn/act/07/22.md

33 lines
715 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Musa alifundishwa
"Wamisri walimfundisha Musa"
# Mafundisho yote ya kimisri
hii inaongezea ,"vitu vyote walivyovijua Wamisri."
# alikuwa na nguvu katika maneno na matendo
"alikuwa na uwezo katika maneno na matendo yake"
# ikamjia katika moyo wake
Musa alitafakari na kisha akaamua
# kutembelea ndugu zake, Wana wa Israeli
Kuona jinsi gani ndugu zake, wana wa Israeli wanaendeleaje.
# Alipomwona Mwisraeli akitendewa mabaya
Alipomwona Mmisri anamtesa mwisraeli, Musa alimtetea na akalipiza kisasi kwa kumpiga hadi kufa yule Mmisri.
# Musa alifikiri
" Musa alidhani kuwa, alichokifanya ndugu zake watajua kuwa ni Mungu anawapigania"
# kwa mkono wake
kupitia yeye Mungu alikuwa akiwaokoa ndugu zake.