forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
645 B
Markdown
17 lines
645 B
Markdown
|
# Wanaume wa Israeli, iweni makini sana na kile mnachopendekeza kuwafanyia watu hawa
|
||
|
|
||
|
Gamarieli anawaeleza majumbe wa baraza wasifanye jambo lolote juu ya hao mitume litakalowaletea majuto baadaye
|
||
|
|
||
|
# Theuda aliinuka na kujidai kuwa mtu mkuu
|
||
|
|
||
|
Theuda alikuwa ameasi na kujitwalia idadi kubwa ya wafuasi
|
||
|
|
||
|
# Aliuawa, na wote waliokuwa wanamtii walitawanyika
|
||
|
|
||
|
Watu walimwua na jamii ikatawanyika.
|
||
|
|
||
|
# Baada ya mtu huyu, Yuda mgalilaya, aliinuka siku zile za kuandikwa sensa, akavuta watu wengi nyuma yake.
|
||
|
|
||
|
Yuda Mgalilaya naye vilevile alitokea wakati wa sensa ya Kaisari, aliwavuta wengi kuasi dhidi ya utawala wa dola ya Kirumi kisha naye kapotea.
|
||
|
|