sw_tn/act/02/14.md

17 lines
482 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi:
Petro anaanza kuwasilisha hotuba yake kwa Wayahudi siku ya Pentekoste.
# alisimama pamoja na wale kumi na mmoja
Mitume wote walisimama kuunga mkono hoja ya Petro
# hili lijulikane kwenu, sikilizeni kwa makini
Petro anaelezea tukio ambalo watu wamelishuhudia likiendelea. Wamsikilize kwa makini
# saa hizi ni asubuhi saa tatu.
"saa tatu za asubuhi. Petro anawafikirisha wasikilizaji wajue kuwa watu hawanyi wala hawalewi muda huo wa mapema katika siku.