sw_tn/2ti/03/10.md

49 lines
1015 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# wewe umeyafuata mafundisho yangu
" Lakini kwa wewe umekuwa makini katika kuyaangalia/kuyaenenda."
# Mafundisho
"Maelekezo"
# Mwenendo mzuri.
" Namna ya maisha"
# Mateso ya mda
"kuwa na uvumilivu na watu"
# Uvumulivu
Maana zake ni 1) "Nitaendelea kumtumikia Mungu hata katika hali ngumu ya kutoweza" au 2) " Nitaendelea kuenenda katika njia ya haki hata katika nyakati ngumu."
# Walaghai/Watapeli
"Watu ambao huwadanganya watu kuhusu wao wenyewe" au " Watu ambao hujiweka tofauti na uhalisia wa maisha yao ya kweli."
# Na katika hayo yote Bwana akaniokoa
Paulo anazungumzia namna ambavyo Bwana alimuokoa alipokuwa anateseka na hali ngumu na hatari.
# kuishi katika maisha ya kumcha Mungu katika Kristo Yesu
"kuishi maisha ya kumcha Mungu kama mfuasi wa Yesu"
# watateswa
"yawapaswa kuvumilia mateso"
# watazidi kuwa waovu zaidi
"watakuwa waovu zaidi"
# Watawapotosha wengine
"Watawasababisha watu wasimtii Kristo"
# Wao wenyewe wamepotoshwa.
"Na watu wengine wawasababisha wasimtii Kristo"