sw_tn/2th/03/10.md

13 lines
435 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# baadhi wanaenenda paipo utaratibu
Hapa "enenda" linasimama kwa kumaanishatabia katika maisha. AT: "baadhi wanaishi maisha ya "kubweteka" au "wengine ni wavivu"
# lakini badala yake ni watu wanaoenenda pasipo utaratibu.
Hawa nia watu wanaoingilia mambo ya wengine pasipo kuombwa kufanya hivyo.
# kwa utulivu
"katika utulivu, amani utulivu." Paulo anawaasa watu wazembe waiotaka kufanya kazi waache kuchunguza mambo ya wenzao."