sw_tn/2th/02/01.md

29 lines
625 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Paulo anawaasa waumini wasidanganywe kuhusu siku ambayo Yesu atarudi.
# Sasa
Neno "Sasa" linaonyesha kubadilika kwa mada katika maelekezo ya Paulo.
# Ndugu
Neno "ndugu" linamaanisha Wakristo wenzetu, linajumuisha wote wanaume na wanawake. AT: " kaka na dada"
# Kwamba msisumbuliwe au kuhangaishwa kwa urahisi
kwamba msiruhusu mambo yawasumbue kwa urahisi.
# kwa ujumbe au barua ambayo inadhaniwa kutoka kwetu
"kwa maneno au barua iliyoandikwa ambayo inadhaniwa kutoka kwetu.
# kwa tokeo kwmba
"kusema kwamba'
# siku ya Bwana
Hii inamaanisha wakati atakaporudi duniani kwa ajili ya waumini.