sw_tn/2sa/15/07.md

17 lines
388 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ikawa
Kifungu hiki kinatumika kutambulisha tukio linalofuata katika habari.
# hata mwisho wa miaka minne Absalomu
Hii inarejerea miaka minne baada ya kurudi Yerusalemu.
# na kutimiza nadhiri niliyoiweka kwa Yahwe nilipokuwepo Hebroni
"kwenda Hebroni na pale nitatimiza nadhiri niliyomfanyia Yahwe"
# Kwa miaka minne
Hapa Absalomu anajirejerea katika namna ya kumweshimu mfalme.