# Ikawa Kifungu hiki kinatumika kutambulisha tukio linalofuata katika habari. # hata mwisho wa miaka minne Absalomu Hii inarejerea miaka minne baada ya kurudi Yerusalemu. # na kutimiza nadhiri niliyoiweka kwa Yahwe nilipokuwepo Hebroni "kwenda Hebroni na pale nitatimiza nadhiri niliyomfanyia Yahwe" # Kwa miaka minne Hapa Absalomu anajirejerea katika namna ya kumweshimu mfalme.