sw_tn/2sa/09/07.md

17 lines
587 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa ajili ya Yonathani baba yako
"Kwa sababu nilimpenda baba yako, Yonathani"
# Utakula daima katika meza yangu.
Hapa "meza" inawakilisha kuwa pamoja na Daudi katika uwepo. Kula na mfalme mezani ilikuwa ni heshima kubwa.
# Mtumishi wako ni nini, hata umwangalie kwa upndeleo mbwa mfu kama mimi?
Swali hili lisiloitaji jibu laonesha kuwa Mefiboshethi anafahamu kuwa hana umuhimu wowote wa mfalme kumjari.
# mbwa mfu huyo
Hapa Mefiboshethi anawakilisha uzao wa Sauli, na anajilinganisha na "mbwa mfu." Mbwa walikuwa wanyama wasioheshimiwa, mbwa mfu alikuwa hana umuhimu kabisa.