# Kwa ajili ya Yonathani baba yako "Kwa sababu nilimpenda baba yako, Yonathani" # Utakula daima katika meza yangu. Hapa "meza" inawakilisha kuwa pamoja na Daudi katika uwepo. Kula na mfalme mezani ilikuwa ni heshima kubwa. # Mtumishi wako ni nini, hata umwangalie kwa upndeleo mbwa mfu kama mimi? Swali hili lisiloitaji jibu laonesha kuwa Mefiboshethi anafahamu kuwa hana umuhimu wowote wa mfalme kumjari. # mbwa mfu huyo Hapa Mefiboshethi anawakilisha uzao wa Sauli, na anajilinganisha na "mbwa mfu." Mbwa walikuwa wanyama wasioheshimiwa, mbwa mfu alikuwa hana umuhimu kabisa.