forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
881 B
Markdown
29 lines
881 B
Markdown
|
# Ujue ili kwanza
|
||
|
|
||
|
"Ujue hili kama jambo la muhimu sana."
|
||
|
|
||
|
# wakienenda saswasa na matakwa yao
|
||
|
|
||
|
Hapa neno "matakwa" urejea kwa tamaa mbaya ambazo ziko kinyume na mapenzi ya Mungu. "kuishi sawasawa na tamaa zao mbaya"
|
||
|
|
||
|
# kuendelea
|
||
|
|
||
|
kitendo, tenda
|
||
|
|
||
|
# Iko wapi ahadi ya kurudi kwake?
|
||
|
|
||
|
Wabishi wanauuliza swali la utupu kusisitiza kuwa hawaamini kuwa Yesu atarudi. Neno "ahadi" urejea kwa kutimizwa kwa ahadi kuwa Yesu atarudi. "Ahadi ya kuwa Yesu atarudi sio kweli! Hatarudi!
|
||
|
|
||
|
# Baba zetu walikufa
|
||
|
|
||
|
Hapa "Baba" urejea kwa mababu walioishi zamani. "Walikufa" ni lugha ikimaanisha walikufa.
|
||
|
|
||
|
# vitu vyote vilikuwa hivyo tangu mwanzo wa uumbaji.
|
||
|
|
||
|
Wabishi wanajadili kwamba hakuna chochote katika ulimwengu kimeweza kubadilika, haiwezi kuwa kweli kwa Yesu kurudi.
|
||
|
|
||
|
# tangu mwanzo wa uumbaji.
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kutofasiriwa kama kikundi cha maneno ya kitenzi. "Kwani Mungu aliumba ulimwengu"
|
||
|
|