sw_tn/2pe/03/01.md

17 lines
565 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya ujumla
Petro anaanza kuzungumza kuhusu siku za mwisho
# kukuamsha katika akili
Petro anasema kwa kusababisha wasomaji wake kufikiri kuhusu mambo haya kama alikuwa anawaamsha kutoka kwenye usingizi. "kuwasababisha kufikiri kwa mawazo safi"
# maneno yaliyosemwa kabla na manabii watakatifu
Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "maneno ambayo manabii watakatifu walisema wakati uliopita"
# amri ya Bwana wetu na mwokozi kwa kutumia mitume
Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "amri ya Bwana wetu na Mwokozi, ambayo mitume wenu waliwapa"