sw_tn/2co/08/03.md

17 lines
305 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# walitoa
Hapa ina maanisha makanisa ya Makedonia.
# kwa hiari yao wenyewe
'kujitolea"
# kwa kutusihi kwingi
Maneno "kutusihi" na "walituomba" hueleza maana ileile na kusisitiza uhodari amnbayo kwao watu waliwasihi.
# huduma hii kwa waumini
Paulo anarejea kutoa fedha kwa waamini wa Yerusalemu.