sw_tn/1ti/03/06.md

21 lines
744 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Asije akawa mwamini mpya
"Asije akawa mwamini mpya" au " asije akawa mtua mbaye amekuwa mwamini kwa muda mfupi uliopita "au " lazima awe mwamini mchanga"
# Asije akaanguka katika hukumu kama mwovu
Kuwa na majivuno kama mwovu anavyofanya na kwa sababu ya kwamba amehukumiwa kama mwovu alivyo.
# Lazima pia awe na sifa njema kwa wote wa nje.
"Ni muhimu pia kwa wote ambao hawajamwamini Yesu kufikiri vizuri juu yake"au"Wote wa nje ya kanisa lazima wafikiri vizuri juu yake"
# Kuanguka katika aibu
Kuleta aibu juu yake"au"kumpa mtu sababu za kutodhibitishwa kwake"
# Kuanguka katika......mtego wa mwovu
Kuruhusu mwovu kumtega." Shetani kutengeneza mtego au kunaswa ni mfano wa shetani kumhadaa kujiingiza katika dhambi bila kujua.