sw_tn/1th/04/13.md

49 lines
808 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla
Paulo anaongelea waamini walio kufa, walio hai, na ao watakao ishi Kristo akirudi.
# Hatutaki msielewe.
"Tunataka muelewe"
# Hatutaki
"Sisi" inawaelezea Paulo, Silvanus na Timotheo lakini sio waamini wa Thesalonike.
# Ndugu
Hapa "ndugu" inamaanisha Mkristo mwenzako.
# Kulala
Hapa inamaanisha "kufa."
# Msiomboleze
"Msisikitike"
# Kama hao wasiojua mambo yajayo
"Kama watu wasioamini"
# Kama tukiamini
Hapa "sisi" linawaelezea Paulo na hadhira yake.
# Kufufuka tena
"kufufuka na kuishi tena"
# Atawaleta pamoja na Yesu hao waliolala mauti.
"akirudi atawafufua waamini waliokufa wakimwamini Yesu"
# Kwa ajili ya hayo twasema
"Sisi" linawaelezea Paulo, Silvanus na Timotheo lakini sio waamini wa Thesalonike.
# Hakika hatutawatangulia
"hakika hatutakwenda mbele yao"