sw_tn/1th/02/05.md

17 lines
389 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# maelezo ya jumla
Paulo anawambia Watheselonike waamini kuwa mwenendo wake haukuwa katika maneno ya kujipendekeza, ulafi, au kujitukuza
# tumia maneno ya kujipendekeza
"Kuongea na wewe kwa sifa za uongo
# wala kama kisingizio cha tamaa
"wala sisi hakutumia maneno kama kisingio cha uchoyo ili wewe utupatie vitu
# inaweza kudai upendeleo
inaweza kuwa alifanya wewe kutupatia vitu