sw_tn/1th/01/02.md

17 lines
325 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla
Katika hii barua "tu" ya husu Paulo Silvana, na Timotheo, isipo kuwa tu imeelezwa vinginevyo.
# Huwa tunamshukuru Mungu.
Tunamshukuru Mungu kila wakati.
# Tumekuwa tukiwa taja katika maombi yetu.
" Tunawaombea"
# Kazi ya Imani
"Matendo ya Imani" au "Kazi yenu kwa Mungu kwa sababu mnamwamini yeye"