sw_tn/1sa/16/11.md

17 lines
290 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yupo mdogo kabisa amesalia
"Bado yupo mtoto wangu mdogo"
# hatutakaa chini
"Hatutakaa chini ili tule"
# Naye ... muonekano
Hapa msimuliaji anatusimulia kuhusu mtu mwingine katika simulizi.
# kijana huyu alikuwa mwekundu
Hii inamaanisha kuwa Daudi alikuwa na mwonekano wenye afya.