# Yupo mdogo kabisa amesalia "Bado yupo mtoto wangu mdogo" # hatutakaa chini "Hatutakaa chini ili tule" # Naye ... muonekano Hapa msimuliaji anatusimulia kuhusu mtu mwingine katika simulizi. # kijana huyu alikuwa mwekundu Hii inamaanisha kuwa Daudi alikuwa na mwonekano wenye afya.