sw_tn/1ki/17/11.md

25 lines
476 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kama BWANA Mungu wako aishivyo
Kirai hii ni kiapo kinachosisitiza kuwa kile atakachokisema ni kweli.
# konzi moja ya unga tu
ni kidogo tu kwa ajili ya mlo mdogo
# unga
"unga uliotumika kutengeneza mkate
# kuni mbili
Hii inamaanisha vijiti viwili
# ili tule, na tusubiri kufa
"kwamba tuweze kula na baada ya hapo tusubiri kufa"
# Ndipo baadaye ujitengenezee wewe na mwanao
Hii iko wazi kabisa kuwa kutakuwa na unga wa kutosha na mafuta kwa ajili ya mikate zaidi.