# Kama BWANA Mungu wako aishivyo Kirai hii ni kiapo kinachosisitiza kuwa kile atakachokisema ni kweli. # konzi moja ya unga tu ni kidogo tu kwa ajili ya mlo mdogo # unga "unga uliotumika kutengeneza mkate # kuni mbili Hii inamaanisha vijiti viwili # ili tule, na tusubiri kufa "kwamba tuweze kula na baada ya hapo tusubiri kufa" # Ndipo baadaye ujitengenezee wewe na mwanao Hii iko wazi kabisa kuwa kutakuwa na unga wa kutosha na mafuta kwa ajili ya mikate zaidi.