sw_tn/1jn/03/23.md

13 lines
223 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Hii ndio amri yake.
"Hiki ndicho ambacho Mungu anataka tufanye."
# Mwana
Hili ndilo Jina Mashuhuri la Yesu, Mwana wa Mungu.
# Dumuni ndani yake, na Mungu hudumu ndani yake.
Daima kuwa na ushirika endelevu na Mungu.