forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
984 B
Markdown
29 lines
984 B
Markdown
|
# Sentensi Unganishi
|
||
|
|
||
|
Yohana anawapa waaminio kanuni za msingi za ushirika - utii na upendo
|
||
|
|
||
|
# Wapendwa
|
||
|
|
||
|
"Ninyi watu niwapendao" au "Rafiki wapendwa"
|
||
|
|
||
|
# siwaandikii ninyi amri mpya, bali amri ya zamani
|
||
|
|
||
|
"Ninaaandikia kupendana nyinyi kwa nyinyi, ambalo siyo jambo jipya kutenda bali ni amri ya zamani amabayo mmishaisikia." Yohana anamaanisha amri ya Yesu ya kupendana kila mtu na mwenzake
|
||
|
|
||
|
# tangu mwanzo
|
||
|
|
||
|
Hapa, neno 'mwanzo" humaanisha wakati walipoamua kumfuata Kristo. "tangu mlipoanza kuamini katika Kristo"
|
||
|
|
||
|
# Hata hivyo ninawaandikia ninyi amri mpya,
|
||
|
|
||
|
Lakini kwa namna nyingine amri ninayowaandikia ni mpya"
|
||
|
|
||
|
# ambayo ni kweli katika Kristo na kwenu,
|
||
|
|
||
|
Hapa neno "Katika" humaanisha "kwa sababu ya." : "ambayo ni kweli kwa sababu ya alichotenda Kristo, na kwa sababu ya mnchotenda nyinyi"
|
||
|
|
||
|
# giza linapita, na nuru ya kweli iko tayari inaangaza
|
||
|
|
||
|
"giza," hapa humaanisha uovu na "nuru" humaanisha wema. ; "kwa sababu mnaacha kutenda ovu na mna zidi kutenda jema zaidi na zaidi.
|
||
|
|